Kalonzo atangaza kwamba huenda muungano wa Azimio ukalazimika kuitisha maandamano ya kupinga mswada

  • | K24 Video
    56 views

    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametangaza kwamba huenda muungano wa Azimio ukalazimika kuitisha maandamano kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2023 anaosema utakandamiza wakenya kiuchumi zaidi. Hata hivyo baadhi ya wabunge wamejitokeza na kutangaza kwamba wataunga mkono mswada huo ambao hatma yake ipo mikononi mwa bunge la taifa