Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo awahimiza wana ODM kurejea upinzani ili kuafikia maono ya Raila kabla ya 2027

  • | KBC Video
    453 views
    Duration: 2:05
    Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ameuhimiza mrendo endelevu wa chama cha ODM kujiunga tena na upinzani ili kuafikia maono ya hayari aliyekuwa waziri mkuu Raila Amolo Odinga katika kubaini hatima ya nchi hii kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Akizungumza kabla ya sherehe za ukumbusho wa siku yake ya kuzaliwa Kalonzo alitoa wito kwa washirika wake wa kisiasa kudumisha umoja licha ya migawanyiko inayobainika wazi katika chama cha ODM. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive