Kalonzo: “Hatutaruhusu kura kuibwa — tumejiandaa kila ngazi"

  • | NTV Video
    1,961 views

    Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa upinzani upo tayari kuhesabu na kulinda kura zake katika vituo vya kupigia kura kote nchini, baada ya Rais William Ruto kupendekeza mwenyekiti wa tume mpya ya IEBC Erastus Edung Ethekon na makamishna sita bila mazungumzo na makubaliano na upinzani

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya