- 5,248 viewsDuration: 3:08Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, leo amezuru kaburi la Hayati Raila Odinga katika shamba la Kang'o Ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya. Kalonzo akirejelea usuhuba wake wa karibu na marehemu Raila wakiwa wandani wa kisiasa na marafiki wa dhati. Mjane wa Raila Odinga, Ida Odinga, amesema kuwa urafiki kati ya Kalonzo na Hayati Raila hauwezi kufutika