Kalonzo na Mudavadi wasema hawana haraka ya kuchagua mwaniaji urais

  • | Citizen TV
    Kalonzo na Mudavadi wasema hawana haraka ya kuchagua mwaniaji urais Vinara wote wa OKA wametangaza kuwania urais, ila wanataka kuchagua mmoja Wabunge wanaounga mkono OKA wataka kujua atakayepeperusha bendera yao