KALRO yawahusisha kwa kilimo vijana wanaoishi na ulemavu

  • | Citizen TV
    90 views

    Taasisi ya utafiti wa mimea na mifugo (KALRO) tawi la Alupe imeanzisha mpango wa kuwahusisha vijana na watu wanaoishi na changamoto za kimaumbile katika kilimo cha maharagwe ya soya. Juhudi hizi zinalenga kuwawezesha wanaoishi na ulemavu kupata ajira kupitia kwa kilimo hicho, mbali na kuzalisha kwa wingi maharagwe ya soya ili kukabili upungufu.