'Kama mwanamke, nilikuwa nikiona aibu kuwa na nywele hizi usoni'

  • | BBC Swahili
    1,148 views
    Kutana na mrembo Glory Chinemerem Ibe @chef_nemey ambaye amekuwa akiota ndefu kama ilivyo kwa wanaume. Glory anaelezea jinsi alivyokabiliana na nywele hizo tangu akiwa na umri wa miaka 14 alipoanza kupata hali hiyo. #bbcswahili #nigeria #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw