Kamanda wa Central Nairobi akamatwa Eldoret kwa mauaji ya Ojwang’

  • | NTV Video
    5,178 views

    Kamanda wa kituo cha polisi cha Central hapa Nairobi, Samson Talaam amekamatwa huko Eldoret, Taalam ni mshukiwa wa pili kukamatwa kwa tuhuma ya mauaji ya Albert Ojwang' na atafikishwa mahakamani Jumatatu ijayo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya