Kamanda wa police Nairobi atanagaza kukamilika kwa maandalizi ya sherehe za Jamhuri, Uhuru Gardens

  • | NTV Video
    31 views

    Kamanda wa police kaunti ya nairobi adamson bungei ametangaza kukamilika kwa mandalizi ya maadhimisho ya jamhuri yatakayofanyika katika bustani ya uhuru gardens hapa nairobi hapo kesho. akizungumza mapema leo bungei amewahakikishia wakenya usalama huku akisema milango ya bustani ya uhuru itafunguliwa saa kumi na mbili alfajiri kwa raia watakaofika kuhudhuria hafla hiyo ya kihistoria.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya