Skip to main content
Skip to main content

Kamanda wa polisi eneo la Pwani atoa amri ya kuuawa kwa wahalifu

  • | KBC Video
    12,748 views
    Duration: 2:41
    Kamanda wa polisi eneo la Pwani Ali Nuno, ametoa amri ya kupigwa risasa na kuuawa kwa wahalifu wanaotumia silaha zikiwemo panga kuwaangaisha wakazi katika kaunti za Mombasa na Kilifi. Amri hiyo inawadia huku visa vya makundi ya vijana yanayotumia panga kwa shughuli za uhalifu zikizidi kuongezeka, na kama mwanahabari wetu Ann Mburu anavyotujuza, baadhi ya vijana hao wamenaswa katika kamera za cctv wakiwaibia na kuwajeruhi wananchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive