- 77,350 viewsDuration: 25:40Kamati andalizi ya mazishi ya hayati Raila Odinga inayoongozwa na Naibu Rais Kithure kindiki na nduguye Raila, Oburu Oginga kwa sasa inatoa taarifa rasmi kuhusu maandalizi ya mazishi ya hafla ya hapo kesho ya umma kumuaga Raila huko Kisumu.