Kamati ya bunge kuhusu Elimu yapendekeza kuongezwa fedha kwa shule zinazotoa mafunzo kwa walemavu

  • | Citizen TV
    235 views

    Kamati ya bunge kuhusu Elimu inapendekeza kuongezwa kwa mgao wa fedha wa serikali kwa shule zinazotoa mafunzo maalum na hasa taasisi ya elimu ya mafunzo ya walemavu nchini ili kufanikisha mpango wa kuwasaidia watoto wanaoishi na ulemavu kupata elimu.