Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge kuhusu utekelezaji wa sheria inanuiya kuboresha mazingira ya maafisa na wafungwa

  • | NTV Video
    79 views
    Duration: 1:17
    Katika juhudi za kuimarisha huduma za magereza nchini, Kamati ya Bunge kuhusu Uangalizi na Utekelezaji wa Katiba ikishirikiana na Naibu Kamishna wa Magereza, imefanya ziara ya kikazi katika magereza ya Malindi na Kilifi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya