Kamati ya bunge kuhusu uwekezaji na kawi laagiza ukaguzi wa fedha

  • | Citizen TV
    80 views

    Kamati ya bunge kuhusu uwekezaji na masuala ya biashara pamoja na kawi imetoa amri ya ukaguzi wa mahesabu wa shirika la kitaifa la mafuta nchini NOCK, kuhusu kufilisika kwake na ushirikiano wake na kampuni ya kuuza mafuta ya petroli ya Rubis