Kamati ya bunge la kitaifa na seneti kuhusu afya yasaka suluhu ya mgomo

  • | Citizen TV
    335 views

    Kamati ya bunge kuhusu afya inakutana na wadau mbalimbali kuzungumzia mgomo wa madaktari ambao umefikia siku ya 45 hii leo. Kamati hiyo imewaalika mawaziri wanne, baraza la magavana, tume ya mishahara, tume ya utumishi wa umma na chama cha madaktari kwenye kikao cha kujaribu kulegeza misimamo na kuafikia makubaliano ya kurejea kazini.