Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya bunge yahoji wizara ya Kawi kuhusu kurejesha Sh2 bilioni Hazina

  • | Citizen TV
    387 views
    Duration: 2:07
    Katibu mkuu katika wizara ya kawi Alex Wachira pamoja na maafisa wa wizara hiyo leo wamefika mbele ya kamati ya bunge ya uhasibu kujibu maswali kuhusu matumizi ya pesa katika mwaka wa kifedha wa 2024. Kamati hiyo ya uhasibu imehoji sababu ya wizara ya kawi kurejesha katika mkoba wa hazina ya kitaifa jumla ya shillingi bilioni mbili ambazo hazikutika.