Kamati ya Bunge yamhoji Waziri wa Hazina ya Taifa John Mbadi

  • | Citizen TV
    80 views

    Huku deni la taifa likizidi kuzua wasiwasi, waziri wa hazina ya kitaifa John Mbadi anatoa maelezo bungeni kuhusu deni hilo ambalo limefikia asilimia 69.7 ya uchumi wa nchi. Mbadi anasema kuwa serikali inahitaji kupunguza mikopo yake, kwani kwa sasa asilimia 63 ya mapato ya nchi inatumiwa kulipa madeni kutokana na riba ya juu.