- 122 viewsDuration: 2:18Wabunge wameidhinisha pendekezo la serikali kuuza asilimia 15 ya hisa zake katika kampuni ya Safaricom. Kwenye mjadala bungeni, wabunge wameidhinisha gharama ya uuzaji huo kuwa shilingi bilioni 204 huku serikali ikiratibiwa masharti ya kufuata kaika utekelezaji wa uuzaji huo.