Kamati ya haki itaanza ukaguzi wa makamishna saba wa IEBC kesho

  • | NTV Video
    170 views

    Kamati ya haki na masuala ya kisheria itaanza ukaguzi wa makamishna saba walioteuliwa na rais william kuhudumu kwenye tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini (IEBC) hapo kesho.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya