Kamati ya kitaifa ya mazungumzo yakutana kaunti ya Nakuru kuandika ripoti

  • | Citizen TV
    331 views

    Kamati ya kitaifa ya mazungumzo ya uwiano imeanza mchakato wa kuandika ripoti yake baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau mbalimbali kuhusu maswala tata humu nchini. Hata hivyo inaarifiwa kuwa suala tata la kupanda kwa gharama ya maisha limesalia kuleta mvutano kati ya wawakilishi wa mrengo wa Azimio na Kenya Kwanza