Kamati ya mazungumzo inakutana Nakuru kuanza kutayarisha ripoti yake kabla ya kuiwasilisha bungeni

  • | Citizen TV
    297 views

    Kamati ya mazungumzo ya kitaifa inakutana eneo la Elementaita, kaunti ya Nakuru kuanza kutayarisha ripoti yake kabla ya kuiwasilisha bungeni. Duru zinaarifu kuwa vuta nikuvute kuhusu suala zima la kupanda kwa gharama ya maisha inaendelea huku upande wa kenya kwanza ukishikilia kuwa haikuwa miongoni mwa ajenda kuu huku Azimio wakisisitiza suala hilo lifanywe kipaumbele