Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya NADCO yaendelea kuandaa ripoti yake ya mwisho

  • | Citizen TV
    475 views
    Duration: 1:43
    Kamati inayoandaa ripoti ya NADCO haitajumuisha suala la mipaka katika ripoti yake mwisho kutokana na changamoto za muda. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Agnes Zani amesema swala hilo la mipaka ni tata na kwamba haliwezi kushughulikiwa ipasavyo ndani ya muda uliowekwa kwa kamati hiyo kukamilisha ripoti yake.