- 267 viewsDuration: 1:57Kamati ya seneti kuhusu maswala ya ardhi,mazingira na mali asili Sasa imeanza kusikiliza malalamishi ya ukiukwaji wa sheria, kubomolewa kwa nyumba pamoja na kutishiwa kuondolewa kutoka kwa kipande chao cha ardhi unaodaiwa kutekelezwa na wawekezaji wanaodai umiliki wa vipande hivyo vya ardhi wadi ya Ganda kaunti ya Kilifi