Kamati ya seneti inamhoji Gavana wa Mandera Mohamed Khalif

  • | Citizen TV
    114 views

    Kamati ya seneti kuhusu uwekezaji inahoji Gavana wa Mandera Mohamed Adan Khalif kuhusiana na ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali ya mwaka wa 2023/2024.