Kamati ya seneti kutangaza matokeo ya uchunguzi wa maafa ya Shakahola

  • | KBC Video
    15 views

    Kamati maalum ya bunge la seneti inayochunguza mauaji ya Shakahola ambapo watu 200 walipoteza maisha imesema itatoa matokeo ya uchunguzi huo kwa umma pindi uchunguzi huo utakapokamilika .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #shakahola #paulmackenzie