10 Sep 2025 10:25 am | Citizen TV 115 views Duration: 1:40 Kamati ya Seneti kuhusu Habari, Mawasiliano na Teknolojia imepongeza Serikali ya Kaunti ya Machakos, chini ya uongozi wa Gavana Wavinya Ndeti kwa Mifumo Imara ya teknolojia.