28 Aug 2025 10:28 am | Citizen TV 218 views Duration: 1:43 Kamati ya Seneti imezuru kampuni ya Kenya Seed na kuahidi kushinikiza serikali kuu na za kaunti kulipa madeni yanayozidi shilingi bilioni 1.3 ili kurahisisha upatikanaji wa mbegu bora kwa wakulima nchini