- 185 viewsDuration: 1:59Kamati ya seneti kuhusu maswala ya ardhi, mazingira na mali asili Sasa imeanza kusikiliza malalamishi kuhusu ukiukwaji wa sheria, kubomolewa kwa nyumba na wakazi kutishiwa kuondolewa kutoka kwa kipande chao cha ardhi kinachodaiwa kutekelezwa na wawekezaji eneo la Ganda kaunti ya Kilifi.