Kamati ya Seneti yachunguza mbolea ghushi

  • | Citizen TV
    523 views

    Kamati ya seneti kuhusu kilimo imeikashifu serikali kwa utepetevu kwenye shughuli nzima ya uagizaji na usambazaji wa mbolea ya ruzuku iliyosababisha kusambazwa kw ambolea ghushi kwa wakulima. kamati hiyo imewataka maafisa wakuu mamlaka ya kukadiria ubora wa bidhaa- KEBS- na asasi zingine za serikali kujiwasilisha mbele yake kufuatia tuhuma za kufanikisha kusambazwa kwa mbolea hiyo bandia. Kamati hiyo iliwahoji wanahabari wa africa uncensored waliofichua sakata ya mblea nchini.