Kamati ya Seneti yataka kaunti ya Turkana ichunguzwe

  • | Citizen TV
    927 views

    Kaunti ya Turkana imetajwa kuwa kitovu cha ufisadi kupitia miradi mbalimbali ya mabilioni ya pesa. bunge la Seneti linataka idara za upelelezi kuchunguza madai hayo huku gavana wa Turkana Jeremiah Lomorukai, akilaumu uongozi wa serikali iliyopita kwa kutowajibika