Kamati ya taifa ya Olimpiki humu nchini; NOCK umefadhiliwa na kitita cha shilingi milioni kumi

  • | KBC Video
    Kamati ya taifa ya Olimpiki humu nchini; NOCK imefichua ufadhili wa kitita cha shilingi milioni kumi kutoka kwa shirika la bahati nasibu la ‘Kenya Charity Sweepstake’. Fedha hizo zitatumiwa kuziandaa timu zitakazoshiriki kwenye michezo ya Olimpiki ya mwaka huu jijini Tokyo sawa na michezo ya mwaka 2024 Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive