Kamati ya usalama Kaskazini Mashariki imeandaa kikao kukomesha uhasama kati ya jamii Mandera

  • | Citizen TV
    387 views

    Kamati ya usalama Kaskazini Mashariki imeandaa kikao cha dharura ili kuratibu hatua zitakazochukuliwa kukomesha uhasama kati ya jamii zinazozozana eneo la Rhamu kaunti ya Mandera.