Kamati ya usalama na bodi ya utoaji leseni ya vileo kaunti ya Murang'a zapunguza idadi ya baa

  • | Citizen TV
    318 views

    Kamati ya usalama na bodi ya utoaji leseni ya vileo kaunti ya Murang'a zimeanzisha mikakati ya kupunguza idadi ya baa kwa asilimia hamsini.