25 Feb 2026 8:02 pm | Citizen TV 1,308 views Duration: 3:03 Kamati ya usalama katika kaunti ya samburu imefanikiwa kuwanasa washukiwa kumi wa wizi wa kimabavu katika mji wa Maralal. Washukiwa hao wanakisiwa kuwa ndio wamekuwa wakiwahangaisha wafanyabiashara mjini humo viunga vyake.