Kamati yasubiri agizo la kubomoa jengo lililoporomoka Uthiru

  • | Citizen TV
    2,319 views

    Kufuatia kuondolewa kwa watu waliokuwa wakiishi kwenye jengo lililoporomoka jana usiku katika eneo la Naivasha Road, Uthiru, kamati maalum iliyoundwa kushughulikia suala hilo inasubiri agizo kutoka kwa wahandisi wa jiji la Nairobi ili kuanza kubomoa jumba hilo.