Kamati za bunge zakusanya maoni kuhusu ujenzi wa nyumba za bei nafuu jijini Nairobi

  • | TV 47
    24 views

    Kamati za Bunge ikiwemo ile kuhusu masuala ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu juamtatu inaendeleza shughuli za kukutana na umma kukusanya maoni yao kuhusu mswada wa nyumba za bei nafuu wa 2023.

    Kamati hiyo ilianzia shughuli zake imezuru kaunti 19, ikifanya vikao kumi kufikia leo.

    Kwa sasa kikao hicho kinaendelea hapa jijini Nairobi katika majengo ya County Hall.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __