Kamati za bunge zinazokusanya maoni ya nyumba za bei nafuu zakamilisha vikao leo

  • | Citizen TV
    1,163 views

    Kamati za fedha na nyumba zimetamatisha shughuli ya ukusanyaji wa maoni ya wakenya kuhusu mswada wa nyumba za bei nafuu. Kamati hizo sasa zinatarajiwa kufanya kikao na wizara ya ardhi na ujenzi wa nyumba Jumatano kuafikiana kuhusu mabadiliko kwenye mswada huo yatakayojadiliwa bungeni