Kambi 14 za kitalii zafurika Maasai Mara

  • | Citizen TV
    2,626 views

    Kambi 14 za kitalii zimefurika Maasai Mara

    Juhudi za uokoaji zimesaidia kuwaokoa watalii 40

    Mto Talek ulivunja kingo zake Maasai Mara

    Watu 179 wamefariki kutokana na mafuriko nchini

    Uopoaji wa miili ya waliofariki Tana River unaendelea

    Barabara ya Kedong-Suswa imefungwa kufuatia mafuriko