Skip to main content
Skip to main content

Kambi 20 za kijeshi za Marekani zilizoshambuliwa na Iran

  • | BBC Swahili
    19,051 views
    Duration: 2:28
    Iran imeharibu maeneo 20 ya kijeshi ya Marekani tangu kuanza kwa vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran, picha na video za satelaiti zilizochambuliwa na BBC Verify, zinaonesha mashambulizi makubwa kuliko inavyokubaliwa hadharani. Bosha Nyanje anaelezea kwa kina #bbcswahili #donaldtrump #Iran