Kamera za cctv zaonyesha mali ilivyoibwa Nairobi

  • | Citizen TV
    11,910 views

    Baadhi ya wafanyabiashara katikati ya jiji la Nairobi walipata hasara ya mamilioni baada ya maduka yao kuvamiwa wakati wa maandamano yaliyoingiliwa na magenge ya wahuni.