Kamera za maafisa wa usalama zatumiwa na rais wa kawaida

  • | VOA Swahili
    159 views
    Kamera ndogo ambazo kwa wakati mmoja zilikuwa zikitumiwa zaidi, na maafisa wa kulinda usalama, sasa zimeanza kupata umaarufu baina ya raia wa kawaida, ambao wanatumia zile za gharama nafuu, kujilinda, na kujihisi salama katika hali hatari. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.