Kampeni dhidi ya dhuluma za kijinsia

  • | Citizen TV
    99 views

    Washikadau mbalimbali kaunti ya Kisii wameandaa matembezi ya amani katika barabara kadhaa za mji huo kuhamasisha umma dhidi ya dhulma za kijinsia.