Kampeni ya chanjo ya HPV kwa wasichana yaanzishwa Samburu

  • | Citizen TV
    122 views

    Ugonjwa wa saratani ukisalia miongoni mwa maradhi yanayochangia vifo vingi humu nchini,wadau wa afya kaunti ya Samburu,wameanzisha kampeni ya kutoa chanjo ya HPV inayowalenga wasichana wenye umri wa kati ya miaka tisa na kumi na nne ili kuwalinda dhidi ya maambukizi ya saratani ya njia ya kizazi