Kampeni ya kupunguza maafa barabarani yaanzishwa

  • | KBC Video
    3 views

    Kampeni inayolenga kupunguza ajali za barabarani kwenye barabara kuu ya Thika imezinduliwa katika eneo la Gatundu Kaskazini, kaunti ya Kiambu.Mbunge wa eneo hilo Elijah Kururia ameshirikiana na wadau wengine katika juhudi za kukomesha ajali ambazo zimesababisha vifo vya zaidi ya watu kumi katika eneo hilo katika kipindi cha miezi kadha iliyopita huku watu wengine wengi wakijeruhiwa. Kururia amesema maafisa wa afisi ya ustawi wa eneo bunge watashirikiana na maafisa wa polisi wa trafiki kutoa uhamasisho kwa wananchi kuhusu umuhimu wa kutii sheria za barabarani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive