14 Aug 2025 10:38 am | Citizen TV 200 views Duration: 1:55 Katika kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na shirika la KOICA kutoka nchini Korea imezindua kampeni ya kukomesha Ukeketaji.