Kampeni za uchaguzi Marekani zapambana kupata wapiga kura weusi
Joe Biden na Donald Trump wameshinda uchaguzi wa awali katika vyama vyao kwenye jimbo la Magharibi kati la Wisconsin wiki hii, huku wote wakiwa na uhakika wa uteuzi.
Wagombea hao wanapambana kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu huko Wisconsin, ni moja ya majimbo yanayoweza kuamua ushindani wa mwaka 2024. Mwandishi wa VOA Scott Stearns anaripoti kuwa kampeni zinafanya kazi kupata uungaji mkono wa wapiga kura weusi huko Wisconsin.
Wapiga kura wa Wisconsin walimchagua Donald Trump mwaka 2016 lakini Joe Biden miaka minne baadaye. Na mara zote ushindani ulikuwa wa karibu. Kwa hiyo, Wisconsin huenda ikaenda upande wowote katika uchaguzi ambao wapiga kura waliokaribia kugawanywa kwa usawa wakigawanya maoni ya umma.
Katika ushindani wa karibu, pande zote zinajaribu kupata mafanikio na wapiga kura wapya.
Kwa Warepublican, hiyo ina maana kujaribu kuingia katika eneo la Wademocrat kihistoria wakiwa ni wapiga kura Weusi, Orlando Owens ni mwenyekiti wa kwanza wa Wamarekani Weusi katika kaunti ya Milwaukee anaeleza haya...
- VOA
#joebiden #donaldtrump #uchaguziwaawali #Wisconsin #kampeni #wapigakura
#watuweusi #voa #voaswahili #scottstearns #afrika
2 May 2024
- The US advised against travelling to Kenya at the moment and urged those already in the country to take caution.
2 May 2024
- According to KNBS, maize and wheat prices continue to drop, but other household commodities registered price increases in April.
2 May 2024
- Kerosene prices also increased during the period under review.
2 May 2024
- Nairobi Governor Johnson Sakaja is under fire over the county’s response to floods from the heavy rainfall being experienced across the country.
2 May 2024
- Education Cabinet Secretary Ezekiel Machogu has been summoned to appear before the National Assembly Committee on Education.
2 May 2024
- A formal request has been issued to the United States Speaker of the House of Representatives and Republican member of Congress Mike Johnson; for President William Samoei Ruto to address a joint session of Congress.
2 May 2024
- Police tore down a protest encampment at the University of Texas on Wednesday, arresting more than a dozen people, as unrest over Israel's war against Hamas in Gaza simmered on US campuses.
2 May 2024
- Colombian President Gustavo Petro said on Wednesday he will break diplomatic relations with Israel over its actions in Gaza.
2 May 2024
- The US advised against travelling to Kenya at the moment and urged those already in the country to take caution.
2 May 2024
- So far, 90 people are registered as missing.
2 May 2024
- "They regularly sing a hymn that she liked and they are also growing a plant in the class for her."
2 May 2024
- Wheels of Justice: Court cases lined up for today.
2 May 2024
- Akungo was elected on Tuesday to act as speaker and chair the county assembly service board