Kampeni za uchaguzi mdogo zakamilika Bonchari na Juja

  • | Citizen TV
    Kampeni za uchaguzi mdogo zakamilika Bonchari na Juja Wagombea kumi na watatu wanatafuta kuchaguliwa Bonchari Wagombea kumi na mmoja wanatafuta kiti cha Juja Polisi wasema maafisa wa kutosha watahakikisha usalama wa wapigakura IEBC: maandalizi yamekamilika na wasimamizi wa uchaguzi wako tayari