Kampeni zaanza mwezi mmoja kabla ya uchaguzi mkuu DRC

  • | VOA Swahili
    495 views
    Kampeni za mwezi moja kabla ya uchaguzi mkuu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zilianza rasmi Jumapili kukiwa na wasi wasi na mashaka juu ya kufanyika uchaguzi huo kwa njia huru na amani. Karibu watu millioni 44 wamejiandikisha kati ya wakazi milioni 100, kumchagua rais, wabunge na madiwani hapo Disemba 20, wakati nchi iko katika hali nzito ya kisiasa na usalama huko mashariki ya nchi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.