Kampuni iliyoko dubai yadaiwa kufadhili Al-Shabaab

  • | Citizen TV
    679 views

    Marekani sasa imeorodhesha kundi la Al-Shabab, kama "mtandao wa kimataifa wa ulanguzi wa fedha. Marekani ikitangaza orodha ya mashirika na watu wanaotuhumiwa kuhusika na ufisadi kwa kufadhili shughuli za kundi la Al Shabaab..