Kampuni moja Kenya yatengeneza mifuko mbadara ya kufungia vyakula

  • | VOA Swahili
    48 views
    Ufungaji wa bidhaa ni unachangia kwa kiasi kikubwa tatizo la uchafuzi wa mazingira duniani, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa zaidi ya theluthi moja ya plastiki zote zinazozalishwa zinatumika kwa ajili ya kufunga bidhaa. Ili kukabili changamoto hiyo, kampuni moja nchini Kenya inatengeneza mifuko mbadala, kutokana na taka za kilimo zisizo na kemikali zenye sumu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.